Tunawezaje Kumpendeza Mungu
- Sermon By: Pastor Baraka Lewa
Mungu ametuumba kwa malengo makubwa
Yesu ni Mungu katika mwili wa kibinadamu.
– Tunampendeza Mungu kwa kumpa dhabihu za sifa (Waebrania 13:15)
– Tunampendeza Mungu kwa kutenda mema (Waebrania 13:16).
– Tunampendeza Mungu kwa kushirikiana (Waebrania 13:16)
