– Tumepwea mamlaka ya kunena na vitu vitendeke.
Neno inafanya kazi.
– Ukitumia neno la bwana maisha yako yatakuwa rahisi.
Jinsi ya kutumia Neno la Mungu kwa msaada wetu.
1. Kutafakari juu ya neno la Mungu.
2. Kuamini neno la Mungu. (Mark 11:23)
3. Tenda kulingana na neno la Mungu.
Tunaweza kutumia neno la…